Flavian ana uwezo mkubwa wakuwa juu kwenye fani hii.. Fashionjunkiis nyie mnaonaje mapozi yake??

Flavian ana uwezo mkubwa wakuwa juu kwenye fani hii.. Fashionjunkiis nyie mnaonaje mapozi yake??well nakubaliana na wewe she is so stunning. niko na contacts za agencies but she arleady has a contract with Ice models labda mpaka mkataba uushe. plus inategemea na agency yake ya Dar-es-salaam wao ndio waliokuwa na jukumu lakumuuza kwa agencies mbalimbali na kumpatia deal poa but Ice Models is big in Africa. Its good to start with mpaka achangamke. Please email me for more info kama wataka kujua zaidi!!
Rosemary kama nilivyomuelewa dada wa hapo juu kwani kama una contact still unaweza kuwatumia wale agency wao you never know licha ya yeye inaweza kuwasaidia wengine wengi na wewe pia ukawa kama agency wa hiyo company iliyopo bongo kwa hapa states although I know ina involve mambo mengi kama registration nakuweza kuwa qualified kuwa mfanyabiasha anyway just to give it a try you never know tunaweza kutamba siku moja sisi watanzania tunasister yetu Rosemary very successful newyork anakampuni yake na mamodel wake. One never knowww

I really like Favianna! Pure African woman!
Hivi fashionjunkii hakuna njia ya kumhook up flavian na tyara banks hili amfungulie njia zaidi? Manake she is so attractive in this modelin industry anything she put on it fits her perfect.I think she realy got the talent.woulnt be suprise to see her to the top in the world in future if she keeps on fight hard.she is so natural.Rose kama una details zozote za ma agency wa maaana Usa ebu jaribu kufanya mambo tumtoe dada yetu.